Entrepreneurship
Simbo Young Women Entrepreneurs — Scone Baking Training
TAARIFA YA MAENDELEO YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI WA UTENGENEZAJI WA SKONZI — Tarehe: 31/05/2026, Simbo.
Mabinti Wajasiriamali Simbo (10) walipata fursa ya kuendelea kujifunza mbinu bora za ukandaji wa ngano kwa ajili ya utengenezaji wa skonzi kutoka kwa mtaalamu wa ujuzi huo, Kaka Omary. Mafunzo haya yamelenga kuwawezesha mabinti hao kupata maarifa na ujuzi wa kutengeneza skonzi zenye ubora unaokidhi mahitaji ya soko.
The Simbo Young Women Entrepreneurs Group (10) continued their hands-on training in proper flour-kneading techniques for scone production, guided by skills expert Kaka Omary. The training is designed to equip the young women with the knowledge and practical skills to produce market-quality scones — a first step in building a sustainable small business and a steady source of household income.
Mabinti hao wanaendelea kufanya vizuri katika kujifunza na kuboresha mbinu za utengrosheshaji wa skonzi. Kwa hatua waliyoifikia hadi sasa, takribani asilimia 80 ya mchakato wa uzalishaji umeonesha mafanikio makubwa na matarajio ya kupata bidhaa bora zitakazoweza kuleta faida nzuri mara baada ya kuanza rasmi shughuli za biashara.
The young women continue to perform well in learning and improving scone-making techniques. At the stage they have reached so far, approximately 80 percent of the production process has shown great success, with expectations of obtaining quality products that will bring good profits once they officially begin business operations.
Malka Foundation Helper continues to empower girls and communities by providing practical skills that build economic self-reliance, encourage creativity, and create new opportunities for employment and social development.

