News & Events
What's happening
International days, community events and announcements from Malka Foundation Helper. Updated as activities happen.

Mahojiano Maalum Radio Joy FM Kigoma — Kutambulisha Malka Foundation Helper
Tarehe 18/06/2026, timu ya Malka Foundation Helper Mkoa wa Kigoma ilifanya mahojiano maalum katika studio za Radio Joy FM Kigoma kwa ajili ya kuitambulisha taasisi kwa jamii na kuhamasisha kampeni ya kuwawezesha wananchi kupitia ujuzi, elimu na fursa.
Read more →
Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika — Simbo 2026
Tarehe 12/06/2026, Malka Foundation Helper iliendesha maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika katika Simbo, Kigoma, ikiunganisha watoto, vijana, viongozi na wanajamii katika siku ya elimu, ushiriki na hamasa kuhusu malezi bora ya mtoto.
Read more →
Siku ya Mazingira Duniani — Usafi na Upandaji Miti
Watoto, vijana na wanajamii waliungana kwa zoezi la usafi na upandaji miti katika Kata ya Simbo, Kigoma.
Read more →
Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika — Shule ya Sekondari UAMUZI
Tarehe 04/06/2026, Malka Foundation Helper iliendesha maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika katika Shule ya Sekondari UAMUZI, Dar es Salaam, ikiwashirikisha wanafunzi 50 (wasichana 30 na wavulana 20) na kushiriki nao chakula kwa upendo na malezi.
Read more →
